29
Nov

Bunge lavunjika Dodoma

Dar/Dodoma. Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo. Vurugu hizo zilianza saa 04:42 usiku hadi saa 04:49 usiku wakati Spika Anne Makinda alipolazimika kuahirisha Bunge hadi leo saa tatu asubuhi. Chanzo cha vurugu ni kutokana na ugumu wa kutokukubaliana na azimio la tisa,

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»
20
Mar

Kenya yatoa uzoefu kwa Bunge la Katiba

Ujumbe maalum kutoka nchini Kenya umehutubia wajumbe wa Bunge la Katiba nchini Tanzania kuelezea uzoefu wao kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya nchini Kenya ulivyofanyika. Akizungumza na Wajumbe wa Bunge maalum la katiba, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya,Amos Wako ameainisha masuala ya msingi ya kuzingatia katika upatikanaji wa Katiba

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»
11
Mar

Chadema yampitisha Mathayo Torongey kupambana na Ridhwani Kikwete

Mgombea Ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chadema, Mathayo Torongey akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana baada ya kutambulishwa. Picha na Michael Jamson Read More

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»
10
Mar

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kalenga ahutubia kwenye mvua, wananchi wavumilia

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na mmoja wa wanakijiji,mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo,uliofanyika katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke-Iringa Vijijini,huku kukiwa na mvua kubwa ikinyesha,ambayo hata hivyo haikuzuia

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»
10
Mar

Kura ya Siri au wazi kaa la moto Bunge la Katiba

Na Daniel Mjema na Sharon Sauwa, Mwananchi .......Habari kutoka katika kikao cha ndani cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), zilisema kutokana na mvutano huo, mjumbe mmoja, Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi. Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»
6
Sep

OXFAM YAIVURGA LOLIONDO

*Yazifadhili asasi kuvuruga amani Loliondo *Yazichotea mamilioni kufanikisha vurugu Shirika la Misaada la Kimataifa la Oxfam limejiingiza kwenye ufadhili wa vikundi na asasi za kiraia, zinazozua na kuchochea mgogoro kati ya Serikali na wafugaji wa jamii ya Kimaasai katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha. Kujiingiza kwa Oxfam ni juhudi

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»
6
Sep

YANGA NA SIMBA WAKABIDHIWA VIFAA NA KILIMANJARO

Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kulia), wakionesha baadhi ya vifaa vya michezo  walivyokabidhiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambao ndio wadhamini wakuu wa klabu hizo. Wa pili kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe na Mkurugenzi wa Mashindano,

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»
6
Sep

DK MARY NAGU ANG'OKA NEC HANANG'

MBIO za uchaguzi ndani ya CCM zimefikia patamu, baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk Mary Nagu kuenguliwa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Nec kupitia Wilaya ya Hanang', huku Mke wa Rais, Salma Kikwete akiwa mgombea pekee wa nafasi hiyo Lindi Mjini.Mkoani Dar es Salaam, mbio hizo zimeonekana kuwaweka pabaya

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»