Keki ya Besdei

Raisi Jakaya Kikwete (kushoto) akilishwa keki na mkewe Mama Salma Kikwete katika hafla ya kifamilia ya kuadhimisha miaka 61 ya kuzaliwa kwake, katika makazi yake Ikulu ,Dar es salaam

Categories: , ,