TASWIRA: MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, SAFARINI KWENDA ZANZIBAR KUTOKEA DAR


Makamu wa Kwanza wa Rais a Zanzibar, Seif Sharrif Hamad akisalimiana na manahodha wa Boti ya Mv Kilimanjaro, kwenye Bandari ya Dar es Salaam, tayari kwa safari ya kwenda Zanzibar.


Makamu wa Kwanza wa Rais a Zanzibar Maalim Seif akiwa ndani ya Boti hiyo ya kisasa iliyozinduliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar, Dk ali Mohamed Shein.Picha na Richard Mwaikenda