Mmiliki mmoja wa nyumba ya kulala wageni amelazimika kuweka tangazo getini la kupiga mafufu watu wanaokwenda kukodi vyumba kwenye gesti hiyo ya Tulo Annex iliyopo maeneo ya mji mpya mkoani Morogoro,kwa lengo la kufanya ngono kwa muda mfupi
Posted by newstz.blogspot.com
0
comments»