Showing posts with label maanfamano. Show all posts
Showing posts with label maanfamano. Show all posts

PICHA KUTOKA MWANZA LEO, AMBAKO KESI YA KUCHOMWA MOTO KURAN ILIKUWA IKISIKILIZWA

RPC Liberatus Barlow, anasema hayuko tayari kuvumilia uvunjifu wowote wa amani jijini humo kwa kisingizio chochote kile
Pichani Juu askari poolisi akilinda Doria Jijini Mwanza Leo
Wadau mbalimbali wakishangaa jinsi mambo yalivyokua yakiendelea jijini Mwanza leo
****
Hali ilikuwa tete jijini Mwanza leo hii baada ya kundi kubwa la Waislam kujazana mahakamani na kufanya fujo wakati kesi ya kuchoma Koran ilipokuwa ikisikilizwa.Ililazimika jeshi la Polisi kuingilia kati na kuwatawanya kwa kutumia mabomu ya machozi , mji mzima ilikuwa ni patashika nguo kuchanika.Picha na Habari na Bernard Rwebangira-Mwanza
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»