Showing posts with label ofisi ya chadema. Show all posts
Showing posts with label ofisi ya chadema. Show all posts

OFISI YA CHADEMA KATA YA MLIMBA INAPOGEUZWA ENEO LA BIASHARA YA MATIKITI MAJI


Mwanamke Mkazi wa Kata ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa amerundika matikiti maji mbele ya Ofisi ya CHADEMA Kata ya Mlimba na kufanya Ofisi hiyo kugeuka eneo la kuuzia biashara hiyo kama ilivyokutwa, katika Tarafa ya Mlimba.Picha na John Nditi.
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»