Showing posts with label vida mahimbo. Show all posts
Showing posts with label vida mahimbo. Show all posts

VIDA MAHIMBO NA MAMBO YA "BEACHWEAR COLLECTION" @ MEDITERRANEO HOTEL.


Wanamitindo wakipita Jukwaani na chupa za VODKA wakiwa wamevalia mavazi yaliyobuniwa na Vida Mahimbo.
Mbunifu wa mitindo ya mavazi nchini VIDA MAHIMBO (katikati) akipita jukwaani na warembo waliovalia ubunifu wake kufunga onyesho hilo.
Picha za Models waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
 Pichani Juu na Chini ni Wadau wa masuala ya Ubunifu wa Mitindo na Mavazi wakisubiri kwa hamu kuanza kwa Onyesho la Vida Mahimbo's Beachwear Collection, F Vodka na Fashion TV katika hoteli ya Mediterraneo lililofanyika mwishoni mwa wiki.
 Vida Mahimbo akifanyiwa mahojiano na Fashion TV mara baada ya kumalizika kwa Onyesho lake.
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»