Msanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhavile ‘Joti’ akisisitza jambo wakati akizungumzia Changamoto anazokumbana nazo kwenye Sanaa ya Vichekesho anayoifanya. |
Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Habari, BASATA Godfrey Mungereza akieleza juu ya haja ya wasanii kujitambua na kuthamini kazi zao kwenye Jukwaa la Sanaa wiki hii. |
Mdau kutoka Chama Cha Muziki wa Dansi nchini na mshauri wa masuala ya Hakimiliki Francis Kaswahili akishauri masuala mbalimbali kuhusu hakimiliki na shiriki kwenye kazi za Sanaa. |
Sehemu ya wadau wa Sanaa waliohudhuria kwenye Jukwaa la Sanaa wiki hii. |