BONANZA LA FAMILY DAY LILIVYOFANA JIONI YA LEO NDANI YA VIWANJA VYA LIDAZ CLUB,JIJINI DAR.

Shabiki akilicheza goma la Prakatatumba vilivyo jukwaani.
Meneja wa Cabo snoop akimchemsha kidogo Dj,aachie ngoma ya Windeck watu waserebuke pamoja na msanii Cabo Snoop.

Categories: