BREAKINGNEEWS: WANAFUNZI CHUO CHA MKWAWA WAANZA MGOMO MCHANA HUU

Taarifa zilizotua mchana huu kutoka chuo cha elimu Mkwawa Iringa zinadai kuwa wanafunzi wa chuo hicho wapo katika maandalizi na mgomo wakidai fedha zao za chakula baada ya vyuo vingine kupewa fedha hizo.Habari zaidi utapata katika mtandao huu hivi punde

Categories: