HAJI RAMADHAN ANYAKUA MIL 40 ZA BSS


Mshriki wa Bss, Haji Ramadhani amefanikiwa kunyakua kitita cha shilingi mil 40 baada ya kutwaa taji la Bongo Star Search 2011, katika fainali zilizofanyika usiku wa kuamkia leo pale Diamond Jubilee jijini Dar. Pichani anaonekana Haji akifurahia 'mkwanja' wake aliokabidhiwa na Madam Rita.


Categories: , ,