Rais Jakaya Kikwete akuipokea kadi ya MasterCard ya NBC toka kwa Mkurugenzi wa Shughuli za Kibenki wa NBC Bw. William Kallaghe, mwishoni mwa juma Ikulu, Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete akijisajili ili kupata huduma za NBC MasterCard Ikulu, Dar es salaam. Toka shoto ni Meneja wa Tawi la NBC Corporate branch Bi Jacquiline Sindano, Bw, William Kallaghe na Mshauri wa mauzo wa NBC Corporate Branch Bw Emmanuel Mseti
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Meneja wa Tawi la NBC Corporate branch Bi Jacquiline Sindano, Bw, William Kallaghe na Mshauri wa mauzo wa NBC Corporate Branch Bw Emmanuel Mseti baada ya kuchukua kadi ya NBC MasterCard.
Categories:
N,
Rais Jakaya Kikwete