Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva, Barnaba Boy, kutoka kundi la THT akitumbuiza mamia ya wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, Airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani Mbeya. Pichani juu: Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva, Juma Nature, akitumbuiza mamia ya wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea…
Categories: