Kibaka ajisalimisha baada jaribio la kuiba mkoba kushindikana


Mtuhumiwa wa wizi akipelekwa polisi baada ya kujezea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali leo mchana katika benki ya Azania mtaa wa Samora ave baaada ya kumwibia mzungu mfuko.


Mwizi akipanda gari ya mwenyewe kuelekea kituoni.

Categories: