MAELFU YA WATU WASHIRIKI MAZISHI YA MAULID HAMAD MAULID LEO


Maelfu ya wananchi washiriki katika kusindikiza jeneza lenye mwili wa Marehemu Maulid Hamad Maulid,(mwanahabari) na kuelekea kuzikwa Bumbwini Wilaya kaskazini B Unguja jana,(19/10/2011).


Waumini wa Dini ya kiislamu wakimsomea hitma marehemu Maulid Hamad Maulid, katika msikiti wa Mombsa kwa mchina,ambae alifariki juzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,(19/10/2011).