Mheshimiwa Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika akiwa katika mazungumzo na Bwana Richard Ragan, Muwakilishi Mkazi wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuhusu usalama wa chakula katika Ukanda wa Mashariki, Kati na Pembe ya Afrika. Kulia ni Bwana Mohamed Muya Katibu Mkuu wa Wizara.
Categories: