MISS KIU 2011 KUPATIKANA JUMAMOSI UKUMBI WA SAVANNAH LOUNGE WA QUALITY CENTRE



  Shindano la kumsaka mrembo wa chuo cha Kmpala International University (KIU) 2011 linatarajiwa kufanyika Jumamosi hii inayokuja katika ukumbi wa Savannah Lounge (Quality Center) uliopo barabara ya Nyerere. Jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 octoba.
Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya kipya Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mabali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya majai pamoja masupastaa wa movie.
Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikana na wadau maarufu wa mambo ya urembo na mitindo nchini Tanzania.

Tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa kiasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/=

Categories: