PInda akiendelea na ziara ya kikazi BrazilW


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya bidhaa mbalimbali za kilimo za Tanzania na Jarida, Mtendaji Mkuu wa kituo cha utafiti wa mazao ya kilimo cha Embrapa kilichopo Brasiliam, wakati alipotembelea kituo hicho akiwa katika ziara kikazi Nchini Brazili. Picha na Hilary Bujiku (PMO)

Categories: