Rais Jakaya Kikwete atembelea shamba la Mpunga la Kilombero Plantation


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Mtendaji Mkuu wa shamba la kisasa la Mpunga la Kilombero Plantation LTD Bw. Carter Coleman namna wanavyo hifadhi mpunga kwa kutumia mifuko ya plastiki yenye uwezo wa kuhifadhi tani 105 za mpunga kwa mwaka bila kuharibika jana huko Mngeta, wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.


Waziri wa Kilimo na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe akipewa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa shamba la kisasa la mpunga linalo milikiwa na kampuni ya Kilombero Plantation Limited Bw. Carter Coleman namna mitambo ya umwagiliaji aina ya Pivto inavyoweza kumwagilia shamba na kuweka mbolea jana huko Mngeta, Wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro

Categories: