Taswira

Mkazi wa Manispaa ya Iringa ambaye jina lake halikuweza patikana mara moja akiwa katika usafiri wa boda boda huku akiwa amepakia jeneza kama alivyonaswa eneo la Miyomboni mjini Iringa asubuhi hii ama kweli ni jumapili ya majonzi
Chanzo: Francis Godwin Blog

Categories: