Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari[TPA] Bw Ephrain Mgawe kuhusu Upakuwaji wa Makontena Bandarini wakati wa Ziara yakutembelea Taasisi na Idara Zinazoshuhulikia Changamoto za Muungano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akitembelea na Kukagua Shuhguli zanazofaywa na Mamlaka ya Bandari kulia Mkurugenzi Mkuu[TPA] Bw Ephraim Mgawe wakati wa Ziara yake yakutembelea Taasisi Zinazoshuhulikia Changamoto za Muungano[Picha na Ali Meja}
Categories:
Mh Samia Suluu,
TPA,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano