ATM YA KWANZA TANZANIA YAHIFADHIWA KWENYE MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UTAMADUNI JIJINI DAR


ATM ya kwanza Tanzania

Standard Chartered ndiyo benki ya kwanza ya kimataifa kutoa huduma Nchini Tanzania baada ya uhuru na pia ndiyo ya kwanza kutoa huduma za ATM Nchini mnamo mwaka 1997.

Categories: