Rais Jakaya Kikwete akimfariji mama mzazi wa msanii wa kundi la vichekesho la Ze Comedy Joseph Shamba a.k.a Vengu alipomteblea kumjulia hali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikolazwa. Katikati ni Profesa Mohamed Janabi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Rais Jakaya Kikwete akimpa pole msanii wa Ze Comedy Emmanuel Mgaya a.ka. Masanja Mkandamizaji kwa kuuguliwa na mwenzao Joseph Shamba a.k.a Vengu alipomtemblea kumjulia hali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikolazwa. Katikati ni Profesa Mohamed Janabi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Rais Jakaya Kikwete akimfariji mama mzazi wa msanii wa kundi la vichekesho la Ze Comedy Joseph Shamba a.k.a Vengu alipomteblea kumjulia hali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikolazwa. Msanii huyu ni maarufu sana hasa kwa kuigiza kama mwanamke na pia viongozi wa siasa
Categories:
Rais Jakaya Kikwete