
Rais Dkt Jakaya Kikwete akimpokea Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles alipowasili Ikulu, Dar es salaam, leo asubuhi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Prince Charles mara baada ya kuwasili Ikulu leo. Nyuma yao ni Rais Kikwete na mke wa Prince Charles, Camilla.
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiongozana na wageni wao juu ya zuria jekundu huku vijana wakiwashangilia
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiongozana na wageni wao juu ya zuria jekundu huku vijana wakiwashangilia
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wageni
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa katika maongezi na wageni wao
Prince Charles akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe
Prince Charles akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe
Mama Salma Kikwete akiwa na mke wa Prince Charles Camilla, The Duchess of Cornwall
Prince Charles akisanini kitabu cha wageni
Mke wa Prince Charles Camilla, The Duchess of Cornawall, akisaini kitabu cha wageni
Categories:
prince charles Tanzania tour