UBALOZI WA UTURUKI NCHINI WATOA MSAADA WA MASHINE YA INCUBATORS ZANZIBAR

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,akikabidhiwa  mashine ya INCUBATORS, na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania,Sander Gurbuz,(katikati) mashine hiyo   hupunguza Bilirubini katika mwili wa Mtoto,na  inaathiri ubongo ,hivyo mtoto anakuwa taahira baada ya kuzaliwa,  makabidhiano yaliyofanyika jana Hospitali kuu ya Mnazimmoja,(kushoto) Mke wa Balozi Mama Durhan Gurbuz.(02/11/2011). 
Picha na Othman Maulid 

Categories: