JOHN NGAYHOMA AKIWA KATIKA UWAHAI WAKE.
HABARI ZILIZO TUFIKIA MUDA SI MREFU ZINATUELEZA KUWA MWANAHABARI WA SIKU NYINGI JOHN NGAHYOMA AMETUTOKA MAJIRA YA ASUBUHI LEO. NGAHYOMA AMBAYE AMEWAHI KUFANYIA KAZI ITV|RADIO ONE NA BAADAYE KUHAMIA BBC NCHINI UINGEREZA ALIFIKIWA MAUTI AKIWA HOSPITALI BAADA YA KUUMWA KWA MUDA MREFU.
MSIBA UKO NYUMBANI KWAKE MBAGALA NA TAARIFA ZAIDI ZITAENDELEA KWAJI KADRI TUTAKAVYO ZIPATA.
Categories: