Waandaaji wakifuatilia kwa makini:
Hobokela Magale wa BSAT na Demere Kitunga wa Mkahawa wa Vitabu Soma (Soma Book Cafe)
Mgeni Rasmi, Marystella Maufi Wassenge kutoka Wizara ya Elimu, akilisemea suala la kufuta ujinga - kulia ni Walter Bgoya wa Mkuki na Nyota, kushoto ni Hobokela Magale wa BSAT
Mwanamuziki Rafiki (wa Elimu): Joseph Payne akiimba na kucharaza nyuzi za gitaa
Vitabu vilivyokwishatumika vikiuzwa kwa ajili ya kutunisha Mfuko wa Kampeni ya Kufuta Ujinga
Mandhari ya Mkahawa wa Vitabu Soma
Categories: