Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akijaribu kuliendesha trekta kabla ya kukabidhi matrekta mawili kwa wakulima wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoani Singida, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, leo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimkabidhi matrekta mawili diwani wa Kata ya Kwadelo mkoani Singida, Omari Kariate, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo.
Trekta hizo ambazo ni mkopo kutoka Shirika la SUMA JKT, ni kwa ajili ya wakulima wa Kata hiyo. Wengine pichani ni Wajumbe kutoka Chama Cha Wakulima wa Kata hiyo waliohudhuria makabidhuano hayo.Picha na Bashir Nkoromo
Categories: