MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MH JEREMIA SUMARI AMETUTOKA


Taarifa zilizoufikia Muda Mfupi zinasema Kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki na aliye wahikuwa Naibu Waziri wa Fedha Mh. Jeremiah Sumari (pichani)amekufa jana usiku katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, hadi sasa tunaendelea kutafuta taarifa zaidi kuhusiana na mazishi japokuwa Taarifa hii imethibitishwa na Naibu spika wa Bunge Job Ndugai. Kadri tunavyozidi kupata taarifa zaidi kutoka katika vyanzo vyetu vya Tutawataarifu zaidi.

Categories: