MGOMBEA UWAKILISHI KATIKA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA UZINI KWA TIKETI YA CCM MOHAMED RAZA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UWAKILISHI


MGOMBEA Uwakilishi katika uchaguzi mdogo jimbo la Uzini kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Muhamed Raza,akirejesha fomu ya kugombea uwakilishi katika jimbo hilo kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kati Mussa Ali Juma, baada ya kukamilisha taratibu za kuijaza fomu hiyo, hafla hiyo ilifanyika ofisi za Tume ya Uchaguzi Koani.

Categories: