DKT BILAL ATEMBELEA SHAMBA LA MAHINDI NA NYUKI WA KISASA LA WAZIRI MKUU KIJIJI CHA VILOLO KATAVI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea shamba ufugaji wa Nyuki wa kisasa la Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lililopo Kijiji cha Vilolo wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Katavi na Rukwa jana Februari 20, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Categories: