Katibu mkuu na mganga wa serikali wameondolewa, waziri na naibu waziri watashughulikiwa na rais, call allowances za madaktari bingwa ni 25000/= na madaktari wa kawaida ni 20000/=,madaktari watapewa nyumba na green card..
Madaktari wamekubali offers za serikali na wametoa mwezi mmoja kuona kama kweli serikali inatekeleza kwa dhati ahadi zake.Kesho wataingia kazini .
Categories: