Showing posts with label machafuko mbeya. Show all posts
Showing posts with label machafuko mbeya. Show all posts

Kijana Aliyefariki Kwenye Vurugu Mkoani Mbeya Azikwa


Kelvin enzi za uhai wake
Akina mama wakimbembeleza mama yake Kelvin Mwalingo wakati wa ibada ya kumuaga.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiangalia jeneza lenye mwili wa Kelvin Mwalingo wakati wa Ibada ya kumuombea kabla ya mazishi yake.
Ndugu na jamaa wa marehemu Kelvin Mwalingo, wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wake wakitoka Hospitali ya Rufaa ya Mbeya jana, wakienda nyumbani kwao Uyole kwa Maziko.Mwalingo inadaiwa aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi wakati wa vurugu hizo.Picha Zote na Dotto Mwaibale
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

MAPAMBANO BADO YANAENDELEA KATI YA POLISI NA WAMACHINGA JIJINI MBEYA


Baadhi ya wamachinga wakiwa wamelipindua gari yaina ya toyota na kusimama juu yake huku wakitamka maneno makali kwa polisi na jiji la mbeya kwa kuwanyanyasa katika biashara zao


Moja ya mabango waliyobeba wamachinga hao



Wamachinga wakiwazomea polisi eneo la kabwe


Maduka yote eneo la mwanjelwa mpaka uyole yamefungwa



Huu ndiyo mtaa wengi huuita mtaa wa kasisi uliyosababisha vurugu zote kati ya wamachinga na askari wa jiji



Mmachinga akiwarushia jiwe kwa kutumia manati yaani ni hatari tupu


Askari wa kutuliza fujo naye akiwarushia bomu la machozi wamachinga wanaoandamana


Naye mwandishi wetu wa mbeya yetu Joseph Mwaisango alionja joto ya jiwe baada ya kutupwa ndani ya gari ya polisi kwa kosa la kupiga picha matukio hayo ya wamachinga na polisi baadaye aliachiwa na kuendelea na kazi yake


Risasi za moto nazo zilitumika


mabomu ya machozi yalitumika zaidi


Hayo ndiyo maandishi yaliyoandikwa barabarani

kwa ufupi vurugu zinaendelea zimefika uyole kati hali si shwali barabara zimefungwa sasa nizaidi ya masaa 10 hakuna usafiri yati mbeya iringa wala mbeya tunduma habari kamili tutawaketea baadaye

Picha na habari na Mbeyayetu blog
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»