Showing posts with label nbc. wiki ya huduma kwa wateja. Show all posts
Showing posts with label nbc. wiki ya huduma kwa wateja. Show all posts

BENKI YA NBC YAZINDUA MASTER CARD LEO


Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa NBC, William Kallaghe (kushoto), Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) na Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya wakizindua huduma ya Master Card ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam leo.


Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Master Card ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam leo.(katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa benki hiyo, William Kallaghe na kulia ni Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya.


Meneja wa Kadi wa NBC, Robert Mng’anya (kulia) akitoa maelezo kuhusu ufanyaji kazi wa kadi mpya ya Master Card ya NBC katika hafla ya uzinduzi wa kadi hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale na Mkuu wa Kitengo cha Shughuli za Kibenki wa benki hiyo, William Kallaghe.


Baadhi ya waaandishi walioshiriki uzinduzi wa kadi ya Master Card ya Benki ya NBC wakifuatilia uzinduzi huo.
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

BENKI YA NBC YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Jane Dogani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma Kwa Wateja wa benki hiyo jiijini Dar ers Salaam leo.  Kushoto ni Allan Maro na kulia ni Mark Peter Maofisa wa NBC kitengo cha Huduma kwa Wateja


[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»