Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC, Jane Dogani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma Kwa Wateja wa benki hiyo jiijini Dar ers Salaam leo. Kushoto ni Allan Maro na kulia ni Mark Peter Maofisa wa NBC kitengo cha Huduma kwa Wateja |