Afrika - Asia zaungana kusomesha wanawake


Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akihutubia Mkutano wa Afrika - Asia 2011 leo ambapo amesisitiza elimu yenye maadili ndiyo njia pekee ya kumkomboa Mwanamke pamoja na jamii kwa ujumla. Mkutano huo umeandaliwa na Chuo Kikuu cha Wanawake Sookmyung Nchini Korea ya Kusini ambacho kimetimiza miaka mia moja tangu 1906 kilipo anzishwa.


Spika Anna Makinda akifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa mkutuno iliyotokea iliyotolewa na Rais wa Chuo Kikuu cha Sookmyung, Dkt Young Sil Han.


Waanafunzi wa Kitanzania wanaosoma kwenye vyuo mbali mbali Nchini Korea ya Kusini nao walifika kumsikiliza Spika wao

Categories: