Mama Salma Kikwete apata Ugeni kutoka Finland


Mweyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na wageni wake kutoka Finland walio tembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam. Kulia kwa Mama Kikwete ni Profesa Marja-Liisa Swantz, Mtafiti katika Manispaa ya Hartola, Finland na wanaofuatia ni Bi. Maya Lusa Mamia na Bi. Maritta, ambao pia ni Madiwani katika Manispaa ya Hartola. Kulia ni Katibu Mtendaji wa WAMA Bw. Daud Nasib


Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na wageni wakke.

Categories: