Ajali ya basi la Kampuni ya Southern Coach katika kijiji cha Miteja, Kilwa, Mkoani Lindi, iliyotokea leo majira ya saa 8 mchana. Kwa mujibu wa mashuhuda, hakuna aliyefariki japo kulikuwa na majeruhi walioumia vibaya na kukimbizwa hospitali. Chanzo cha ajali bado hakijajulikana |