Balozi wa Kenya azindua mashindano ya Kenya Airways Golf Safari

Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Matiso Mutinda akipiga mpira wa golf  wakati akizindua mashindano ya Kenya Airways  Golf Safari kwenye viwanja vya Gymkhana Jijini Dar es salaam. Huku Meneja Mkazi wa Kenya Airways Bi Lucy Malu (watatu kulia) akishuhudia. Mashindano haya yanafanyika Nchi zote Africa ambazo Kampuni hiyo ina matawi na mwakani washindi wote kutoka nchi 35 watakutana kuchuana jijini Nairobi nchini Kenya

Categories: