DIRA MEDIA GROUP YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO.



Meneja Masoko wa Dira News Paper, Abihudi Mang'era (kushoto) akikambidhi msaada wa vifaa vya michezo kwa nahodha wa timu ya Habari Group, Hamis Shabani ambayo inayoundwa na wachezaji wanaouza magazeti pamoja na mawakala wa magazeti. katikati anayeshuhudia ni Mhariri wa Michezo wa gazeti la Dira, Jimmy Charles.

Categories: , ,