MKULLO AZINDUA MPANGO WA HUDUMA BORA KWA WANACHAMA WA PPF


Waziri wa Fedha Mh. Mustafa Mkullo akizindua mpango mpya wa PPF wa Huduma Bora kwa wanachama wa mfuko huo katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa PPF Dkt Kapalata na shoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio.

Categories: , ,