HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE : GADDAFI AKAMATWA NA KUUWAWA





Habari zilizo tufikia muda si murefi zinasema kuwa Kanali Gaddafi amekufa kutokana majeraha aliyo yapata katika mapambano dhidi yake na wapiganaji wa serikali ya Waasi ya Libya. Aidha vyombo vya habari vya kimataifa havijathibitisha habari hizi.

Habari zaidi zitawafikia punde.

Categories: