Huyu ndiye Msafiri Ilomo mmiliki wa mtandao wa ujambazi ambaye anatafutwa na jeshi la polisi mkoa wa Iringa.
Ilomo ndie mmiliki wa nyumba iliyokutwa na mali za wizi eneo la Kigomboni mjini Iringa leo ,na ndie anayedaiwa kumiliki kundi la wapiga nondo mjini Iringa
Kwa yeyote mwenye taarifa atoe taarifa kwa jeshi la polisi
Picha na habari Francis Godwin blog
Categories: