Ziara ya Mabalozi katika hifadhi ya Ngorongoro


Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwaonyesha baadhi ya mabalozi mfano wa Ngorongoro, kabla ujumbe huo haujaanza safari ya kuingia kwenye bonde hilo kuangalia wanyama.