JK AMJULIA HALI DKT MWAKYEMBE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Naibu Waziri wa Ujenzi Dkt.Harrison Mwakyembe wakati alipomtembelea nyumbani kwake Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam jana mchana. 

Categories: