KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAJI ALOPOKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA MAFANIKIO YA SEKTA HIYO



 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Enj.Christopher  Sayi (katikati mwenye miwani) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio ya Sekta ya Maji kwa miaka 50. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Enj. Bashiri Mlindoko, kulia kabisa ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Mama Tabu Aron na Kushoto kabisa ni Mkuu  wa Mawasiliano wa Wizara Bwana Nurdin Ndimbe. Wizara ya Maji inaadhimisha maika 50 ya Sekta hiyo kwa makongamano na maonyesho yatakayofanyika katika viwanja vya Chuo cha Maji kuanzia tarehe 25-28 mwezi huu.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu  wa Wizara ya Maji Enj. Christopher Sayi. ( Picha zote na Paineto Makweba  Wizara ya Maji).