Mabalozi kutoka nchi mbali mbali wakiwasili Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kutwa moja kwa lengo la kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Marehemu Abeid Amani Karume.
Mabalozi kutoka nchi mbali mbali wanaowakilisha nchi zao wakishuka katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar kwa ajili ya ziara ya siku moja kwa lengo la kuja kumuenzi Rais wa kwanza, marehemu Abeid Aman Karume. Picha/Habari: Hamad Hija, MAELEZO-ZANZIBAR
Categories: