RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS JACOB ZUMA WA AFRIKA YA KUSINI


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam jana.(picha na Freddy Maro).

Categories: