MKUTANO WA 125 WA CHAMA CHA MUUNGANO WA MABUNGE ULIMWENGUNI WAENDELEA NCHINI UJERUMANU

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda yuko nchini Uswissi kuhudhuria Mkutano wa 125 wa  Chama cha Muungano wa Mabunge Ulimwenguni (Interparliamentary Union-IPU). Hapa akipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani/Uswissi Balozi A. Ngemera mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa mkutano jana jioni.

Katibu Mkuu wa Chama cha mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Parliamentary Association-CPA) Dkt William Shija akizungumza na Spika Makinda.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban –Ki Moon akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa  125 wa IPU katika mji wa Bern. Hotuba yake iliyowavuta wengi ilihusu changamoto zinazoikabili dunia ya leo: “siyo upungufu wa bajeti bali ni upungufu wa imani kwa serikali na taasisi mbalimbali”.

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Abdirahin Abdi

MHE. David Kafulila akiwa na mbunge rafiki yake kutoka Canada