NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA DR.MIGIRO AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR LEO



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi ambapo alifanya mazungumzo nae.(picha na Freddy Maro)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Picha ya pamoja.